Pages

Thursday, February 23, 2017

MAKALA MAALUM KUHUSU ALAMA ZA BARABARANI


Watu hujiuliza udereva ni  nini? kifupi Udereva nikazi yenye hadhi katika huduma ya usafirishaji na uchukuzi haijalishi ni watu bidhaa au wanyama,Na dereva ni mtalaam anaedhibiti na kuongoza chombo cha usafiri aidha cha  moto cha kawaida barabarani.
Gari ni chombo chamoto kinachoendeshwa barabarani kwakuthibitiwa na mtu yaani dereva ambaye anautalamu wa kuongoza chombo hicho.

HIZI NDIZO NGUZO KUU ZA UDREVA BORA
   1.uajibikaji [responsibility]
   2.Umakini [concetration]
   3.Utambuzi [anticipation]
   4.uvumilivu [patience]
   5.kujiamini [confidence]


Dereva anatakiwa kuzijua kanuni na alama za barabarani


AMRI KUMI (10)ZA UDEREVA BORA

(1). Kutambua kanuni za barabarani
(2).Kutambua hatari na ujue barabara yako
(3).Haja ya kutulia
(4).Uwe na subira barabarani
(5).Uwe makini barabarani
(6).Uwe na busala
(7).Matunzo ya gari
(8).Uwe unatoa ishara
(9).Hakikisha umazubuti wa gari
(10).Uwe na tabia sahihi

AINA ZA ZA AJALI  BARABARANI
Uchambuzi au uchunguzi unapofanywa makundi yafuatayo hujitokeza kutokana na ajali ilivyo jitokeza, kuna ajali ya kugongana uso kwa uso hii mara nyingi hujitokeza maeneo ya kona na kuovatoke gari liloko mbele yako bila kuwa na tahathali yoyote na hii mala nyingi madreva ndo huathilika sana katika ajali hizo.Kugonga ubavu ,Kugonga nguzo za taa za kuongozea magari barabarani. kupinduka hii malanyingi husababishwa na mwendo kasi wa madreva hii hupelekea kupteza maisha na kuharibu miundo mbinu.
Mambo yanayo wezakuchangia ajali barabarani
Ujinga juuya sheria,ujenzi holela kandokando ya barabara, uzidishaji uzito katika chombo husika,ongezeko la magari,uchovu wa madreva,miundo mbinu mibovu kama barabara,uebeshaji holela wa magari,wamiliki vyombo vya mawasiliano kama simu,ukolofi wa abalia kama kun’gan’gania kutoka kwenye gari iwapo chombo kimepata itilafu,wamiliki wavyimbo kutokua makini na kutokujari mali zao
Katika udreva wakujihami dreva anatakiwa kuangalia,kutambua, kutabili ,kuamua na utekeza hii hupelekea kuepukana  na ajalisizo za lazima unatakiwa kutekeleza na kuamua haraka na kwa muda mwafaka  ukifatisha na kutenda kiujumla.Dreva bora ukifata utaepuka na ajari zisizo za lazima.

Njiapanda au (aund about) hii ni sehemu mbaya na hatarishi sana usipokujua makini yaweza tokea ajali au kusababishiwa ajali inatakiwa kuwa makini na zenyewe zipo katika aina tofauti kama njiapanda zinazo ongozwa na Alama,Njiapanda zinazo ongozwa na Taa,Njiapanda zisizoongowa na kitu chochote alama au taa hii hujihami kwa kuchukuahatua za tahathari usifikilie kuwa dreva mwingine atafata.


Magojwa yanayo weza  kuhatalisha maisha ya  dreva na abilia wake
Kisukari(diabetes)  katika ugojwa huu kiwango cha sukari kwenye damu huzidi mwilini katika kiwango cha kawaida (80-120 mg/d) hii huupelekea kushidwa kumudu chombo hichi inapo panda au kushuka chombo kupoteza mwelekeo
Kifafa (Epileps)nimalufuku mgojwa wa kifafa kuendesha chombo cha moto hasa gari mpakahapo atakapo pata matibabu na kumaliza miaka miwili (2)bila ya kuangaka au kusumbuliwa na tatizo hilo magojwa mengine ni kama magojwa ya akili (mental dicorders) na pumu athima  haya ndo magojwa sugu ambayo huweza kuzuia kuendesha chombo cha moto ukikiuka na ukabainika unashitakiwa na mamlaka ya usalama barabarani(RTA) Road traffic act ya mwaka 1973

3 comments: