WHEN YOU SERVICE YOUR CAR MAKE SURE... -
PALE UAPO SERVICE GARI YAKO KUMBUKA HAYA...
Kwa wamiliki wa magari engine oil ni kitu muhimu sana kwa uhai wa gari lako. Bila engine oil au ukitumia engine oil isio sahihi kwa gari lako,unaweza kuliua haraka sana au likwa linakufa taratibu bila wewe kujua,ndio unaona mara kwa mara mara hiki kimekufa mara kile hatimae inakubidi ubadili engine nzima.
Kuna aina mbili za oil[well zinazotumika sana...